Profesa Jay atinga Bungeni leo

Msanii wa muziki wa Hip Hop na aliyekuwa Mbunge wa Mikumi kupitia CHADEMA, Joseph Haule leo akiongozana na mdogo wake Black Chatta, wametinga Bungeni Jijini Dodoma kwa mualiko wa Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Dkt. Tulia Ackson

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *