Wakati msanii wa muziki Bahati kutoka ncini kenya, akihoji nani ndio Geniusjini_x66 ? Kaa humu mwana huyu ndio Producer anayetengeneza mahits song za Jay Melody na mapema leo ameshusha ngoma ya Msanii huyo wa Kenya iitwayo ‘HUYU’ kwa kukopi wimbo wa JUU ambao umetoka miezi minne iliyopita.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz