Producer Geof Master afariki dunia

Mtayarishaji wa muziki nchini, Geof Master ambaye amefanya kazi na wasanii mbalimbali akiwemo Roma Mkatoliki, chini ya studio za Tongwe Records amefariki Dunia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *