Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Price Dube aaga rasmi AZAM FC

Aliyekua Mshambiliaji wa Azam FC, Price Dube leo kupitia akaunti yake ya Instagram amewaaga rasmi mashabiki na watu wake wa karibu ndani ya Azam.

Kwenye post yake ameandika ‘Kwa Hisia mchanganyiko ninatangaza kuondoka Azam FC miaka minne imekuwa safari ninatangaza ya ajabu iliyojaa changamoto, ushindi na kumbukumbu zuri tender,nataka kutoa shukran zangu nyingi kwa kila mtu aliyeshirikiana na klabu kuanzia Uongozi, Makocha, wachezaji wenzangu, na muhimu zaidi, mashabiki’ – Dube.

Prince Dube anahusishwa kujiunga na moja kati ya klabu zinazotoka mitaa ya Kariakoo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *