Possi mwakilishi UN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemhamisha kituo cha kazi Balozi Abdallah Saleh Possi kuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Geneva, Uswisi. Balozi Possi anachukua nafasi ya Balozi Maimuna Tarishi ambaye amemaliza mkataba wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *