Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Polisi waruhusu maandamano ya Chadema

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeruhusu maandamano yaliyopangwa kufanyika Januari 24 mwaka huu yafanyike.

Amesema chama hicho leo kimefanya kikao na Kamanda Jumanne Muliro na amelipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *