
Msanii wa Bongoflava, Platform TZ ametambulishwa rasmi kuwa chini ya CEO Abbah Music ambapo ametambulisha ujio wa Extended Playlist (EP) yake Above and Beyond yenye nyimbo 6 ndani yake lakini pia uongozi huo umemkabidhi zawadi ya Gari aina ya Toyota Crown kutokana na kazi nzuri ambayo amekuwa akiifanya kila siku kwenye muziki wake.