Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, imemkamata Omari Mlopa (28) mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili kwa wizi wa pikipiki 32, zilizoibwa na baade kuzifanya za kwao na kuzikodisha kwa mkataba kwa watu mbalimbali na kujipatia pesa kila siku .
cc:@polisi.tanzania