Picha:Rais Samia aahitimisha mbio za Mwenge wa Uhuru

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Abdallah Shaibu Kaim amemkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mwenge wa uhuru Ikiwa ni ishara ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2023 Sherehe za Kilele cha Mbio za mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Baba Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana kitaifa zinafanyika katika Uwanja wa Kwaraa Babati, Mkoani Manyara leo tarehe 14 Oktoba, 2023.


One response to “Picha:Rais Samia aahitimisha mbio za Mwenge wa Uhuru”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *