Picha: Rwanda waandika historia Move Afrika

Rais Kagame na Mkewe Jeannette Kagame walikuwa miongoni mwa walioungana na maelfu ya mashabiki wa Burudani katika ukumbi wa BK Arena- Rwanda katika shoo ya #MoveAfrika,ambapo rapa kutoka Marekani Kendrick Lamar, alitumbuiza.

Mbali na msanii huyo pia mkali kutoka Tanzania, kwenye lebo ya WCB Zuchu pia alitumbuiza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *