PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki uzinduzi wa Usafirishaji wa mizigo kwa treni ya SGR, Kuweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Kongani ya Viwanda Kwala na Kuzindua Bandari kavu ya Kwala wakati wa Ziara Mkoani Pwani hii leo Julai 31, 2025.












