PICHA: RAIS SAMIA KATIKA MATUKIO TOFAUTI SIKU YA SHERIA NCHINI

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofauti aliposhiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini kwa mwaka 2025 yaliyofanyika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo February 03,2025.

Maadhimisho hayo yanaongozwa na kaulimbiu isemayo “Nafasi ya Taasisi zinazosimamia Haki Madai katika kufikia malengo Makuu ya Dira ya Maendeleo.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *