PICHA: RAIS SAMIA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA HAYATI AGOSTINHO NETO ANGOLA

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti alipotembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza wa Angola, Hayati António Agostinho Neto eneo la Public Square Jijini Luanda ambapo amepokelewa kwa heshima ya kijeshi na kuweka shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Rais huyo wa kwanza na Muasisi wa Taifa hilo leo Aprili 8, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *