Picha: Rais Samia ampokea Rais wa Romania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amempokea Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *