Picha: Rais Samia akutana na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha leo August 20,2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *