PICHA: RAIS SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA SADC NA EAC SULUHU AMANI YA DRC

Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam hii leo Februari 8, 2025 ambapo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, (DRC).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *