#PICHA MBOWE, LISSU, MNYIKA NA VIONGOZI WENGINE WA CHADEMA WAKIWA PAMOJA…

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA imekutana kwa ajili ya kujadili watia nia kwenye nafasi mbalimbali za Mabaraza ya Chama hiko ambapo Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu na Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika wameonekana kwenye picha za pamoja hadharani hivi karibuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *