Mapema leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Jokate Urban Mwegelo amepokelewa katika Ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kuchukua barua ya uteuzi katika ofisi ndogo za CCM leo Oktoba 04, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Mastaa kadhaa wa muziki na filamu wameshiriki kumsindikiza Katibu mteule, Jokate akiwemo Wema Sepetu, Lulu Diva, Shilole na wengineo