Picha: Makonda katika Ofisi za CCM- Lumumba

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Taifa, Paul Makonda tayari ameingia Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es salaam leo Alhamisi October 26,2023 huku akiwa anaendesha pikipiki na kusindikizwa na Viongozi na Wanachama mbalimbali wa CCM waliojitokeza kumpokea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *