Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul aMakonda atimiza ahadi yake, amkabidhi Profesa Jay Tsh milioni 20, na kutoa ahaidi kumtafutia nyumba upanga ili kuepukana na changamoto ya umbali wa kwenda hospitali.
Pia amewakumbusha waliotoa ahadi zao kuzikamilisha ili kuendelea kuiwezesha Taasisi ya Professor Jay Foundation