Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Picha: Makonda apokelewa na Punda, Simiyu

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Cde. Paul Makonda amewasili na kupokelewa na maelfu katika Mkoa wa Simiyu akitokea Mkoani Mwanza kwa kupandishwa juu ya punda kama ishara ya upendo wao.

Mwenezi Makonda amewasili Simiyu ikiwa ni muendelezo wa ziara yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *