Mh. Paul Makonda ambaye ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM leo ametembelea kaburi la Hayati John P. Magufuli, lililopo Chato na kuweka heshima za mwisho lakini alishindwa kujizuia na kuangukwa na machozi.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz