Kama haujamuona rapa Kanye West kwa muda sasa, jua yupo kazini muda huu na amejichimbia huko nchini Saudi Arabia, akiandaa albamu yake mpya.
Kanye ameweka kambi hiyo ya muda huko Jangwani ambapo amechukua mjengo flani hivi ambao ni hatari na ndani kuna hadi home studio ambayo inamrahisishia kazi zake. Hii ni tabia ya Kanye kujichimbia sehemu na kisha kuandaa kazi zake.



