Msanii na mshindi wa Tuzo ya MTV EMA 2023 Diamond Platnumz , ametembelea ofisi za BASATA na kukabidhiwa Mwongozo wa Maadili katika kazi za Sanaa kutoka kwa Katibu Mtendaji BASATA, Dkt Kedmon Mapana , leo tarehe 06 Novemba, 2023.



P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz