Baada ya kufungiwa miezi mitatu na kutozwa faini ya Milioni tatu, Msanii wa bongofleva @billnass leo ametembelea katika ofisi za BASATA na kukabidhiwa Mwongozo wa Maadili katika kazi za Sanaa kutoka kwa Katibu Mtendaji BASATA, Dkt Kedmon Mapana.


P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz