Rapa Phyno kutoka Nigeria ameweka wazi marafiki zake wazamani waliwahi kumshauri ajiunge na ibada za kishirikina iliaweze kuwa maarufu haraka na kuwa na mafanikio kwenye tasnia ya muziki.
Phyno, ameeleza hayo katika mazungumzo aliyofanya na Gazeti la Punch.
