Ifikapo kesho Novemba 11, mtayarishaji mkongwe wa muziki P Funk Majani ataachia albamu yake iitwayo ‘The Majani Album’ yenye ngoma zipatazo 14.
Katika albamu hiyo amewashirikisha wasanii kama Harmonize, Rapcha, Baba Levo,Rosa Ree, Stamina, Billnass na wengineo mengi.