Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Pepo lamuandama Diddy

Tuhumua mpya zimeibuka kwa nguli wa muziki, Diddy akidaiwa kutenda kosa la ubakaji mwaka 1991, kwa mwanamke ambaye alikuwa mwanafunzi wa chuo.

Ni wiki moja tu! tangu aliyekuwa mpenzi wa Rapa Diddy, Cassie kumtuhumu nguli huyo kumbaka na kumfanyia unyanyasaji wa kingono kisha kesi ikaisha juu kwa juu.

Mwanamke huyo aliwasilisha malalamiko yake siku ya Alhamisi(Jana) katika Mahakama ya Juu ya Manhattan.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *