Klaby ya Soka ya Galatasaray ya Nchini Uturuki, imesherehekea kwa kufanya Parade la kipekee la ubingwa wao wa Ligi Kuu ya Süper Lig baharini kwenye boti huko Istanbul.

Galatasaray imekuwa bingwa msimu wa 2024/2025 na ilionesha kombe lao kwenye boti ikipita mbele ya maelfu ya mashabiki waliokusanyika ufukweni.
One response to “PARADE LA UBINGWA WA GALATASARAY MOTO WA KUOTEA MBALI”
Bravo, the excellent answer.