Pamoja na kuua paka wa watu, wamefungwa

Azam FC imechukua pointi 3 mbele ya Mashujaa FC ikiwa uwanja wao wa nyumbani Lake Tanganyika mkoani Kigoma mechi ya Ligi Kuu Bara.

Mabao ya Azam FC Kipre Junior, Gibril Sillah na Alassane Diao ambaye ameshangiliwa zaidi na wachezaji wenzake baada ya kufunga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *