Tuzo za Trace Music Awards zimefanyika wikiendi iliyopita huko Kigali, Rwanda. Na hii ndio
orodha kamili ya washindi wa tuzo za Trace kwa 2023 hii hapa.
Album of the Year
Love Damini – Burna Boy (Nigeria)
Song of the Year
Calm Down – Rema (Nigeria)
Best Artiste – East Africa
Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Music Video
Baddie – Yemi Alade (Nigeria)
Best Male Artist
Davido (Nigeria)
Best Female Artist
Viviane Chidid (Senegal)
Best Collaboration
Unavailable – Davido (Nigeria) with Musa Keys (South Africa)
Best Newcomer
Roseline Layo (Ivory Coast)
Best Artise – Rwanda
Bruce Melodie
ADVERTISEMENT
Best DJ
Michael Brun (Haiti)
Best Live
Fally Ipupa (DRC)