Staa wa muziki kutoka Lebo ya Sony Music Ommy Dimpoz amekutana na baadhi ya mastaa wanokipiga ligi ya Mpira wa kikapu ya NBA.
Ommy ameshare picha akiwa na mastaa hao baada ya kupata mualiko kutoka NBA mnamo Februari 16-18.
Wiki 77 zilizopita Ommy Dimpoz alipata mualiko pia kutoka Klabu ya Man Unite ambapo aliombwa kuhudhuria mechi ya klabu hiyo