Taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa staa wa muziki Olamdie amewasilisha kazi yake ya Unruly kwaajili ya kuwania tuzo za Grammy 2024.
Olamide, amepeleka kuwania vipengele viwili navyo ni Album of the Year na Best Global Music Album zote kupitia albamu hiyo iliyotoka Agosti mwaka huu.