Staa muziki kutoka Nigeria, Tems amesema kuwa siku akipata nafasi ya kukutana na Rais wa 44 wa Marekani,Barack Obama basi hatotupia kiivyo atavaa simpo tu na suruali ya Jeans itakuwa muhimu.

Tems amesema hayo kupitia kupindi cha ELLE cha “Ask Me Anything” cha nchini Uingereza.

Utakumbuka pia wakati tunamaliza mwaka 2023 Rais wa 44 wa Marekani Barack Obama alitoa orodha ya ngoma zilizomvutia mwaka huo na miongoni mwa ngoma ni Me & U ya Tems.