Nyumba ya Mfanyabiashara na mwanamitandao Zari The Boss Lady iliyopo Nchini Uganda imevamiwa na Majambazi, siku ya Jana na walimjeruhi Mlinzi na kuchukua mali kadha kwenye nyumba hiyo.
Kupitia InstaStory yake ameshare video na picha ya Mlinzi akiwa ameshonwa baada ya kuumizwa..