Nyota wa Wydad Casablanca,amefariki Dunia

Nyota wa klabu ya Wydad Casablanca, Oussama Falouh (24) amefariki Dunia. Chanzo cha kifo chake kinatajwa kuwa ni kupata majeraha yaliyotokana na ajali ya gari aliyoipata wiki kadhaa zilizopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *