Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Nyota Ndogo alia wanaomsakama mwanae

Staa wa muziki Kutoka Nchini Kenya, Nyota Ndogo ameweka wazi kuumizwa na kejeli za baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaoacha maoni mbaya kwenye ukurasa wake kuhusu yeye na mtoto wake aliyempata na mume wake, Henning Nielsen raia wa Denmark.

Nyota Ndogo amedondosha chozi lake katika Ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram, ikiwa ni siku kadhaa tu zimepita tangu abahatike kupata mtoto huyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *