Nuno ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Nottingham Forest
Aliyekuwa kocha Wolverhampton, Nuno Espírito Santo ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Nottingham Forest akichukua mikoba ya Steve Cooper aliyeoneshwa mlango wa kutokea kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo.
FILE PHOTO: Soccer Football – Premier League – Tottenham Hotspur v Aston Villa – Tottenham Hotspur Stadium, London, Britain – October 3, 2021 Tottenham Hotspur manager Nuno Espirito Santo REUTERS/David Klein EDITORIAL USE ONLY. No use with unauthorized audio, video, data, fixture lists, club/league logos or ‘live’ services. Online in-match use limited to 75 images, no video emulation. No use in betting, games or single club /league/player publications. Please contact your account representative for further details./File Photo
Nuno (49) raia wa Ureno ambaye pia amewahi kuinoa Tottenham Hotspur na Al Ittihad ya Saudi Arabia amesaini mkataba mpaka 2026.