Nicki Minaj kuanza ziara yake Machi 2024

Rapa Nicki Minaj hatimaye ametaja tarehe rasmi ya kuanza tour yake ya “Pink Friday 2 World Tour,” ifikapo 2024.

Ziara yake itaanza rasmi ifikapo Machi 1, 2024 katika mji wa Oakland, California na kuanzia leo Desemba 12 tiketi zitaanza kuuzwa na ifikapo Juni ziara hiyo inaweza kuwa imemalizika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *