Mtangazaji na muigizaji Nick Cannon, ameweka wazi kuwa ametumia kiasi cha Dola 200,000 sawa na Tsh/= 5,010,000,085.42 kuwapeleka watoto wake 12 mji wa Disney land uliopo California.
Cannon amesema hayo katika mahojoano aliyofanya hivi karibuni na kipindi cha The Breakfast Club.