Staa wa muziki kutoka Nigeria, Korede Bello amewela wazi kuwa ni ngumu kuwa na akili timamu ukiwa kwenye tasnia ya burudani hasa unapochagua kusalia na kuwa mtu msafi.
Mwimbaji huyo ametoa kauli hiyo siku ya Alhamisi (Jana) kupitia mtandao wa X. Na ni siku chache tu msanii Omah Lay alifunguka kuwahi kupitia tatizo la afya ya akili kwa sababu ya umaarufu.