Ni Diamond Platnumz pekee

Staa wa muziki Diamond Platnumz ndio msanii pekee kutoka Afrika Mashariki ambaye atatumbuiza kwenye jukwaa AFRO NATION, nchini Ureno kuanzia tarehe 26 – 28 Juni mwaka huu na atakuwa na magwiji wa muziki Duniani akiwemo Nicki Minaj.

Mbali na staa huyo wa Hip Hop kutoka Marekani pia jukwaaa hilo litatawaliwa na wasanii wakubwa kama Rema, Asake, Flavour, Musa Keys, Omah Lay, Focalistic, Major League Djz na wengine kwenye list ya watumbuizaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *