Ni Diamond na Alikiba tu!

Bongo Flava inaingia kwenye historia ya kunyakuwa tuzo za #MTVEMA mara tatu tofauti ambapo ilinyakuwa tuzo hizo ni mwaka 2015,2016 na 2023.

•2015: Diamond Platnumz
• 2016: Ali Kiba
• 2023: Diamond Platnumz

Nigeria wao wamenyakuwa mara nane.
• 2005: 2Baba
• 2007: D’banj
• 2012: D’banj
• 2017: Davido
• 2018: Tiwa Savage
•2019: Burna Boy
•2021: WizkId
• 2022: Burna Boy

Kisha kuna Afrika Kusini wamenyakuwa mara tatu
• 2006: Freshlyground
• 2013: LCNVL
• 2020: Master KG

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *