Rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama ametaja orodha ya ngoma 27 ambazo zimembamba kwa mwaka 2023 huku Nigeria ikiwa kinara kutajwa upande wa Afrika.
Katika orodha ya Obama kuna ngoma kama Davido’s Unavailable ft. Musa Keys, Burna Boy’s Sittin’ On Top of the World, Asake & Olamide’s Amapiano, Tems’ Me & U na Tyla’s Water.