Mtandao wa Charts Tanzania, umetaja orodha ya ngoma 10 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi upande wa Youtube tangu kutoka kwake.
Ngoma hizo ni:- 1. Zuchu – Sukari 100M
2. Diamond Platnumz – Jeje 94M
3. Diamond Platnumz – Sikomi 66M
4. Mbosso – Hodari 49M
5. Diamond Platnumz – Yatapita 47.7M
6. Diamond Platnumz – The One 47.4M
7. Diamond Platnumz – Nitampata Wapi 47.07M
8. Rayvanny – Kwetu 47.04M
9. Harmonize – Happy Birthday 47.02M
10. Diamond Platnumz – Naanzaje 36M