Sapologuano msanii kutoka Kongo, ameendelea kukomaa kwa kuitoa kabisa video ya ya #Enjoy kutoka kwa Jux aliyomshirikisha Damond Platnumz katika mitandao wa YouTube. Huku akibainisha #Jux ameiba melody za wimbo wake ambao aliwahi kumtumia kwaajili ya kufanya naye kolabo.
Mwezi uliopita msanii huyo alitoa malalamiko kwa YouTube kwa kile alichosema melody zimeibiwa kutoka kwenye ngoma yake ya I fond Love, hata hivyo anadai walimalizana baadhi ya vitu ila bado kuna vitu havipo sawa.
