Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Otile Brown, ameachia orodha ya nyimbo 11 zitakazopatikana kwenye albamu yake mpya iitwayo, ‘GRACE’, inatarajiwa kutoka Februari 23, 2024.
Albamu hii imejumuisha kolabo za wasanii kama kutoka nchi mbalimbali wakiwemo Rayvanny, Eddie Kenzo, ReekadoBanks, Nameless, Femi One, Barakah The Prince, Morgan Heritage, na GB.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz