NGAO YA JAMII: WATANI WA JADI KUKIPIGA SEPTEMBER 16

Kupitiq taarifa kwa umma, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga SC na Simba SC kuwa utafanyika Septemba 16, 2025.

Mchezo huo, utawakutanisha watani hao wa jadi maalum kwa ajili ya kufungua rasmi pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *