Skip to main content

ZUNGU ATETA NA KUNDI LA KIMKAKATI MKUTANO WA IPU

Rais wa Mkutano wa 153 wa IPU na Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amekutana na wajumbe wa umoja wa kundi la Kijografia na Kisiasa (12 Plus Group).

ZUNGU ATETA NA KUNDI LA KIMKAKATI MKUTANO WA IPU
Studio Narration JAMBO FM

ZUNGU ATETA NA KUNDI LA KIMKAKATI MKUTANO WA IPU

0:00 --:--

Rais wa Mkutano wa 153 wa IPU na Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amekutana na wajumbe wa umoja wa kundi la Kijografia na Kisiasa (12 Plus Group).

Mazungumzo yao yamelenga kuratibu sera, mitazamo, na msimamo mbalimbali inayojadiliwa kwenye mkutano wa 153 wa IPU.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 8 Oktoba, 2026 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC).

#IPU153Tanzania

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.