Leo Oktoba 23, 2026, Walimwengu wanaendelea na pilika za kusaka maisha, ambapo Jambo FM nayo ipo hai kama kawaida kukujulisha habari tano zinazovuma zaidi duniani.
1. ๐ฅ Mashambulizi Strait of Hormuz
- Bei ya mafuta inapanda.
Meli 7 za mafuta zimeshambuliwa karibu na Oman jana na leo. Marekani na Israel wanaripotiwa kupanga mashambulizi mapya dhidi ya Iran baada ya uchaguzi wa midterms US.
Bei ya mafuta imepanda hadi $112 kwa pipa - juu zaidi kwa miezi 5.

2. ๐ฅ Elon Musk na Tesla.
-Roadster inayoruka.
Musk ameonyesha Tesla Roadster yenye thrusters inayoelea angani live.
Watu mtandaoni wanagawanyika - wengine wanasema ni mapinduzi, wengine wanasema ni hatari.

3. ๐ฅ Meta kulipa faini ya $9.89 Billion
Meta (Facebook, Instagram) imekubali kulipa dola bilioni 9.89 kwa kesi 52 za majimbo ya US kuhusu afya ya akili ya vijana.
Pia Australia inawafungulia kesi nyingine ya uraibu wa watoto.

4. ๐ฅ France inawaka.
-maandamano na ghasia.
France kuna maandamano makubwa ya wanafunzi na walimu kote nchini, polisi wanatumia mitandao ya kijamii kutambua waporaji.
Macron amemshutumu Trump kwa kutumia ghasia hizo kwa faida ya kisiasa US.

5. ๐ฅ Tetemeko Tibet.
- Watu 16 wafariki.
China imeagiza uokoaji wa dharura baada ya tetemeko Tibet kuua watu 16.

Discussion
Reader comments
0 contributions